Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Azungumza na Wananchi wa Korogwe.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi Korogwe Mkoani Tanga leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi Mkoani humo.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.