Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi atoa mkono wa pole kwa familia ya Dk Idrisa Ahmada, Mombasa Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mtoto wa Marehemu Dkt. Idrisa Ahmada Khamis. Dkt. Said Idrisa Ahmad alipofika nyumbani kwa marehemu Mombasa Wilaya ya Mjini Unguja kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Ndg. Rashid Simai Msaraka.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Dkt.Idrisa Ahmada Khamis alipofika nyumbani kwa marehemu Mombasa Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua na wanafamilia ya marehemu ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, alipofika kutoka mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Dkt.Idrisa Ahmada Khamis Mombasa Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.