Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi Amefungua Msikiti wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Chakechake Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi wa Mfadhili wa ujenzi wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Pemba.Bw. Humoud Mohammed alipowasili katika viwanja vya Msikiti huo kwa ajili ya ufunguzi Msikiti huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kwa ajili ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Pemba Wilaya ya Chakechake (kulia kwa Rais) Mwakilishi wa Mfadhili wa Ujenzi wa Msikiti huo Bw. Humoud Mohammed na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi

MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale kabla kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi na Waumini wa Kiislam katika hafla hiyo

WAUMINI wa Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein ALI Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Waumini baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na kuufungua Msikiti wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Wilaya ya Chakechake Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.