Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango Afungua Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Ukumbi wa Chamwaga Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akifungua Kongamano la miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo April 26,2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Jijini dodoma" Kauli mbiu Muungano wetu ni Msingi Imara wa Mapinduzi  ya Uchumi, Tudumishe Mshikamano wetu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.