Habari za Punde

Mkutano wa Siku Moja Kuhusiana na Wiku ya Chanjo Afrika.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Pemba Ndg.Yakub Mohamed Shoka, akifungua mkutano wa siku moja wa waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba, juu ya wiki ya Chanjo Afrika mkutano uliofanyika Ukumbi wa PHL Wawi
BAADHI ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba, wakifuatilia kwa makini mkutano wa siku moja juu ya Wiki ya Chanjo Afrika mkutano uliofanyika Ukumbi wa PHL Wawi
MRATIB wa Kitengo cha Chanjo Pemba Bakar Hamad Bakar, akiwasilisha mada juu ya Historia ya Chanjo Zanzibar kwa waandishi wa habari, mkutano wa siku moja juu ya Wiki ya Chanjo Afrika mkutano uliofanyika Ukumbi wa PHL Wawi

MKUU wa Kitengo cha Chanjo Zanzibar Yussuf Haji Makame, akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari, juu ya wiki wa Chanjo Afrika mkutano uliofanyika ukumbi wa PHL Wawi

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.