Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe.Selemani Jafo Awasilisha Hutuba ya Bajeti na Matumizi ya Wizara Yake.

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akiwasilisha Hotuba Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali kwa kushirikiana na mamlaka husika itaandaa Mkakati wa udhibiti wa athari za zebaki kwa afya ya binadamu na mazingira.

Mhe.Jafo amesema hayo leo Aprili 27 wakati akiwasilisha Hotuba ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma.

Alisema sambamba na hayo itaainisha na kufanya tathmini ya maeneo yenye shughuli nyingi za uchimbaji mdogo wa dhahabu kwa kutumia zebaki na kuweka mikakati ya kuyarejesha katika hali yake ya asili.

Aidha, waziri huyo aliongeza kuwa katika kutekeleza Mpangokazi wa Taifa wa kupunguza matumizi ya zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu nchini Serikali itatoa mafunzo kwa mamlaka zinazohusika na udhibiti wa zebaki kuhusu namna ya kudhibiti uingizaji, matumizi na utupaji wa taka zitokanazo na zebaki nchini.

Katika hotuba hiyo pia alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala kwa kuandaa Mkakati wa Nishati Mbadala ya Kuni na Mkaa kwa ajili ya kupikia na kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu matumizi ya nishati mbadala.

“Mheshimiwa Spika tutaendelea kutoa elimu ya nishati mbadala hususan kwa taasisi zinazotumia kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia zikiwemo magereza, polisi, na taasisi za elimu. Katika kipindi hiki, Ofisi itaendelea na ufuatiliaji wa utekelezaji wa mipango iliyowekwa na taasisi mbali mbali kuhusu matumizi ya nishatimbadala,” alisema.

Kwa upande wake MakamuMwenyekitiwaKamatiyaKudumuya Bunge yaViwanda, BiasharanaMazingiraMhe. EricShigongoalishauriOfisiyaMakamuwaRaisishirikianenaOfisiyaMkemiaMkuukudhibitiuingizwajiwazebakinchini.

KatikahotubahiyoaliyoiwasilishakwaniabayaMwenyekitiMhe. David KihenzilealishauriSerikaliitafuteteknolojiambadalaambayowachimbajihaowataitumiailikuachananamatumiziyazebaki.

“UingizajiholelanautumiajiwakemikaliyaZebakinchinikutokananakuwapokwawachimbajiwadogowadhahabuwanotumiakemikalihiyo, unaathirikwakiasikikubwaafyanausatwiwawchimbajihao. Madharayamatumiziyakemikalihiyoyanatokananawachimbajiwengikuitumiabilayakuwanyenzozakujingakutokananazebaki,” alisema.

Shigongoambaye pia niMbungewaBuchosaalitahadharishakuwamajiyanayotumikakusafishiadhahabuyakiwayamechanganyikanaZebaki, yanatiririkiakwenyevyanzovyamajinakuwawatuwanapotumiamajihayo.

NayeMbungewa Viti MaalumuMhe. HawaMchafualishauriSerikaliitumiefedhakutokamifukoyamazingirakwakusaidiakatikakujengauelewawakupunguzamatumiziyazebaki.

Pia Mbungehuyoalipendekezanjiambadalayamatumiziyazebakinakusemakuwakemikalihiyoinaatharikubwakwabinadamuhususankatikamaeneoya Kanda yaZiwaambakokunashughulizauchimbajiwadhahabu.

6.6 Matumiziyakemikalihatarishi – Zebaki

MheshimiwaSpika, uingizajiholelanautumiajiwakemikaliyaZebakinchinikutokananakuwapokwawachimbajiwadogowadhahabuwanotumiakemikalihiyo, unaathirikwakiasikikubwaafyanausatwiwawchimbajihao. Madharayamatumiziyakemikalihiyoyanatokananawachimbajiwengikuitumiabilayakuwanyenzozakujingakutokananazebaki. Vilevile, majiyanayotumikakusafishiadhahabuyakiwayamechanganyikanaZebaki, yanatiririkiakwenyevyanzovyamajikama vile mitonamawaziwa. Watuwanapotumiamajikutokavyanzohivyovilivyochafuliwanazebakiyakuosheadhahabu, huathirikakiafyanawakatimwinginekupatamaradhisuguyanayogharimumaishayao.

MheshimiwaSpika, Kutokananahalihiyo, Kamatiinashaurikuwa:-

i) OfisiyaMakamuwaRais – MazingiraishirikianenaOfisiyaMkemiaMkuukudhibitiuingizwajinazebakinchini;

ii) usimamizinauratibumatumiziyazebakikwawachimbajiwadogowadhahabunchini

25

uendelezwenaOfisiyaMakamuwaRaiskwapamojanaOfisiyaMkemiaMkuu; na

iii) Serikaliitafuteteknolojiambadalaambayowachimbajihaowataitumiailikuachananamatumiziyazebaki.

6.7 Taarifaya Hali yaMazingiranchini

MheshimiwaSpika, Kifungu 175 (1) cha SheriayaMazingirayaMwaka 2004 kinamtakaMkurugenziwaMazingirakuandaanakutoataarifajuuya Hali yaMazingiranchinikilabaadayamiaka 2 nakuiwasilishaBungeni. Hatahivyouzoefuunaoneshakuwaupougumuwakutekelezamashartihayojambolililosababishakuwasilishwakwataarifahiyomwaka 2008, 2014 na 2019. Kwa sababuhiyo, taarifaya kwanza, ya pila nayatatuhazikuwezakuzingatiamashartiyakuwasilishwabaadayamiakamiwili. Kwa msingihuo, KamatiinashaurikuwaSerikaliiandaemapendekezoyamarekebishoyakifunguhichokwakuongezamudawakutoaripotikufikiamiaka 5.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.