Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aongoza Viongozi Kuuaga Mwili wa Marehemu Teddy Hollo Mapinda Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakati wa shughuli za kumuaga Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha maombelezo kabla ya kuaga mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Mei, 2021.

PICHA NA IKULU

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.