Habari za Punde

Uzinduzi wa Pasua Anga Ki Zantel 4G.

MKUU wa Kitengo cha Biashara wa Zantel, Aneth Muga (katikati) akicheza mpira wa kisasa na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Zantel na Emmanuel Swai (kushoto) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Pasua Anga Ki Zantel 4G iliofanyika katika viwanja vya Gombani Kongwe Kisiwani Pemba, Kampeni hiyo imelenga kutoa elimu juu ya umuhimu wa mtandao wa 4G kwa manufaa ya kijamii na kiuchumi.

(Picha na Abda Suleiman)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.