Habari za Punde

Sheikh Nurdin Kishki atembelea Baraza la Wawakilishi kufuatia mwaliko wa Mwakilishi wa Jimbo la ChaaniMwakilishi wa Jimbo la Mwera mhe Mihayo Juma Nhunga akisalimiana na mhadhiri maarufu wa dini ya kiislamu sheikh Nurdin Kishky wakati alipowasili katika ukumbi wa wageni wa Baraza la Wawakilishi kufuatia mualiko aliopewa na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani mhe Nadir Abdullatif Yussuf.
Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Mhe Nadir Abdullatif Yussuf, akiwa pamoja na viongozi wa dini ya kiislamu wakiongozwa na Sheikh Nurdin Kishki walipofika Baraza la Wawakilishi leo 

Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Mhe Nadir Abdullatif Yussuf akizungumza na wageni wake ambao ni viongozi wa dini ya kiislamu kutoka Tanzania bara mara baada ya kutoka katika ukumbi wa mikutano wa Baraza la Wawakilishi.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.