Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza na Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mhe. Miraji Kwaza Wajumuika na Watoto Yatima wa Jimbo Hilo Katika Chakula na Kutoa Mkono wa Eid

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza akisalimia na kumkaribisha mgeni rasmin Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib akiwasili katika hafla ya Chakula Maalum walichoandaliwa Watoto Yatima katika Jimbo la Chumbuni Jijini Zanzibar hafla hiyo imefanyika  katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza akizungumza na mgeni rasmin Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib, baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Mhe Miraji Kwaza.
Ust Adam Khatib akisomwa Quran Tukufu kabla ya kuaza kwa hafla ya Kisomo cha Hitma kuwaombea Wazee wa Jimbo la Chumbuni  na chakula Maalum kilichoandaliwa kwa ajili ya Watoto Yatima wanaoishi katika Jimbo hilo, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni  Jijini Zanzibar.
Mgeni rasmin wa hafla ya Chakula Maalum kwa Watoto Yatima wa Jimbo la Chumbuni na kifanya Kisomo cha kuwaombea Wazee dua, kilichofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Talib Ali Talib na (kulia kwake) Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza na 9 kushoto kwake) Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Mhe Miraji Kwaza, wakishiriki katika kisomo cha hitma na dua. 
Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Jijini Zanzibar wakijumuika na Wananchi na Wazee wa Jimbo hilo katika kisomo cha hitma na dua na Chakula Maalum kilichoandfaliwa kwa ajili ya Watoto Yatima wa Jimbo hilo kilichofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.
Wananchi na Wazee wa Jimbo la Chumbuni Jijini Zanzibar wakishiriki katika dua na hitma kuwaombea Wazee wa Jimbo hilo waliotangulia mbele ya haki, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Jijini Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib na Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Mhe. Miraji Kwaza , wakijumuika na Wananchi wa Jimbo hilo katika kisomo cha Hitma na Dua ya kuwaombea Wazee wa Jimbo hilo waliotangulia mbele ya haki, wakati wa hafla ya Chakula Maalum kilichoandaliwa kwa ajili ya Watoto Yatima kilichoandaliwa na Mbunge na Mwakilishi katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.  
Watoto Yatima na Wazee wa Jimbo la Chumbuni Jijini Zanzibar wakishiriki katika dua na hitma kuwaombea Wazee wa Jimbo hilo waliotangulia mbele ya haki, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.
Watoto Yatima na Wazee wa Jimbo la Chumbuni Jijini Zanzibar wakishiriki katika dua na hitma kuwaombea Wazee wa Jimbo hilo waliotangulia mbele ya haki, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.
Sheikh Said Hamad akihitimisha hitma ya kuwaombea Wazee wa Jimbo la Chumbuni na Chakula Maalum kilichoandaliwa kwa ajili ya Watoto Yatima wa Jimbo hilo, iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar. 
Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.,Miraji Kwaza akizungumza wakati wa hafla Maalum ya Chakula kwa ajili ya Watoto Yatima wa Jimbo la Chumbuni kujumuika katika kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj na kuwasomea Hitma na kuwaombea Dua Wazee wa Jimbo hilo.iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.,Ussi Salum Pondeza akizungumza wakati wa hafla Maalum ya Chakula kwa ajili ya Watoto Yatima wa Jimbo la Chumbuni kujumuika katika kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj na kuwasomea Hitma na kuwaombea Dua Wazee wa Jimbo hilo.iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar.
Mgeni rasmin Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi na Watoto Yatima katika hafla ya Chakula Maalum kwa ajili ya Watoto Yatima na kisomo cha Hitma na Dua kuwaombea Wazee wa Jimbo la Chumbuni waliotangulia mbele ya haki, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Mtoni Jijini Zanzibar, kwa ajili ya Chakula Maalum kilichoandaliwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.