RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony
Blair alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku
moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu
Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar
mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf
wa Uingereza Mhe.Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimshindikiza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza
Mhe. Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimshindikiza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza
Mhe. Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.
No comments:
Post a Comment