Habari za Punde

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi yatembelea mradi wa kituo cha Utalii kwa wote Bungi

Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi mhe Ali Suleiman Ameir akitoa ushauri kwa katibu mtendaji wa kamisheni ya utalii Zanzibar  Abdallah Mohammed Juma mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa mradi wa kuimarisha utalii kwa wote Bungi Mkoa kusini Unguja

 Wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Baraza la wawakilishi wakiangalia mchoro unaonesha uhalisia wa mradi wa ujenzi wa kituo cha utalii kwa wote unaojengwa Bungi mara utakapokamilika.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.