Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Anaemaliza Muda Wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini  Mhe. Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya mazungumzo na kuaga leo 12 Agosti, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimsikiliza Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini  Mhe. Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi wakati wa mazungumzo yao  yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini  Mhe. Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga leo tarehe 12 Agosti, 2021.
 PICHA NA IKULU.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.