Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Al-Abswar Kiembesamaki kwa Abdalla Rashid.
Wananchi wa Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Al-Abswar Kiembesamaki kwa Abdalla Rashid.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh,Mahmoud Mussa Wadi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Al-Abswar Kiembesamaki kwa Abdalla Rashid Wilaya ya Mjini Unguja.
Waumini wa Kiislamu wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Al-Abswar Kiembesamaki kwa Abdalla Rashid Wilaya ya Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment