Habari za Punde

Balozi mdogo wa Oman, Zanzibar afika Ofisi ya Mufti kujitambulisha

Mufti  wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,  akimkaribisha Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy,  alipofika Ofisi ya Mufti  Mazizini Mjini Unguja  kujitambulisha .
Mufti  wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,  akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy alipofika Ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja  kujitambulisha.
Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy, akitoa neno kwa Mufti  wa Zanzibar  alipofika Ofisini kwake  kwaajili ya kujitambulisha.
 Mufti  wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akimkaguza baadhi ya vitengo vilivyomo ndani ya Ofisi ya Mufti wakati alipofika kujitambulisha.

Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy akiagana na watendaji wa Ofisi ya Mufti mara baada ya kufika Ofisini hapo na Kujitambulisha .

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.        

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.