Habari za Punde

Benki ya CRDB Kuwazesha Wakulima wa Zao la Mwani Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba.

Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB Bw.Toyi Ruvumbangu akizungumza na kutawa maelezo kuhusu benki yao kutowa Mikopo kwa Wakulima wa Mwani na Vijana wa Bodaboda Pemba, akitowa maelezo hayo wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraa la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipokuwa akizungumza na Wakulima wa Zao la Mwani katik Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni wiki iliopita.

Wananchi wa Wakulima wa Zao la Mwani katika  Wilaya ya Micheweni Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni wakifuatilia mkutano huo uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Kiuyu Mbuyuni wanapojishughulisha na kilimo cha mwani katika bahari ya Kijiji hicho. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.