AFISA Mdhamini Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Zanzibar, akiwa na watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
kutoka SMT, wakipitia taarifa mbali mbali za Kikao cha Ushirikiano kati ya
Wizara ya Ujenzi SMT na Wizara ya Ujenzi SMZ, kikao kilichofanyika mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi
Zanzibar Amour Hamil Bakar, akifungua
kikao cha Ushirikiano kati ya Sekta ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na
Wizara Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi SMZ, kikao kilichofanyika mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATENDAJI kutoka shirika la uwakala wa Meli Tanzania
TASAC, wakifuatilia kwa makini kikao cha mashauriano kati ya Sekta ya Wizara ya
Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi SMZ, kikao
kilichofanyika mjini Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATENDAJI kutoka Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Zanzibar ofisi ya Pemba, wakijadiliana mambo mbali mbali wakati wa
kikao cha mashauriano kati ya Sekta ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na
Wizara Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi SMZ, kikao kilichofanyika mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu wizara ya ujenzi na Uchukuzi SMT Gabriel
Migire (kulia) wakijadiliana jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano
na Usafirishaji Zanzibar Amour Hamili Bakar, wakati wa kikao cha mashauriano
kati ya Sekta ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara Ujenzi Mawasiliano
na Uchukuzi SMZ, kikao kilichofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA kutoka shirika la uwakala wa Meli Tanzania
Josephine Bujiku, akigawa vipeperushi mbali mbali vinavozungumzia masuala mbali
mbali ya shirika hilo, wakati wa kikao cha mashauriano kati ya Sekta ya Wizara
ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi SMZ, kikao
kilichofanyika mjini Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment