MCHEZAJI wa Timu ya
Haile Salasi Abdalla Mohamed akimiliki basket pembeni ya mchezaji wa Timu ya
Umoja Uzini, wakati wa mashindano ya Elimu bila malipo ngazi ya Taifa, mchezo
uliopigwa uwanja wa Tenisi, Haile Salasi kuibuka na ushindi wa Vikapu 19-8.
MCHEZAJI Salma Haji kutoka skuli ya Mwembe Ladu akirusha mpira katika kikapu, wakati wa mashindano ya elimu bila ya Malipo ngazi ya Taifa, huku skuli ya Mwembeladu ikikubali kipigo cha basket 12-8, mchezo uliofanyika uwanja wa Tenis Chake Chake Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment