Wananchi wa
Tegeta wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan kusimama na kuwasalimia katika eneo hilo wakati akielekea
Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kurekodi kipindi maaraufu cha Royal Tour
leo tarehe 02 Septemba, 2021.
Wananchi wa Zinga pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Pwani wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kusimama katika eneo hilo wakati akielekea Bagamoyo mjini mkoani Pwani kwa ajili ya kurekodi kipindi maaraufu cha Royal Tour leo tarehe 02 Septemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment