Habari za Punde

Wanawake wapewa elimu juu ya uelewa wa dawa za kiwango cha chini na feki

Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othman Simai akifungua warsha ya siku moja ya ushajihishaji wanawake juu ya uelewa wa dawa za kiwango cha chini na feki katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Verde Maruhubi Mjini Zanzibar
Mkuu wa Divisheni ya ukaguzi wa dawa na ufatiliaji (ZFDA) Amne Nassor Issa akiwasilisha mada ya ushajihishaji na taaluma kwa wanawake juu ya dawa zilizokuwa chini ya kiwango na feki katika warsha iliyofanyia Hoteli ya Verde Maruhubi.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja ya uelimishaji wanawake juu kuongeza uelewa kuhusu dawa zilizokuwa chini ya kiwango na feki wakifuatilia kwa kina mada zilizowasiliswa na watoa mada katika warsha hiyo.
 Mfamasia kutoka tasisi ya utafiti wa Afya Zanzibar Salma Saleh Mussa akichangia mada na kuiyomba tasisi husika kutoa elimu kwa watoa huduma za afya juu ya dawa feki.

 Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha ya siku moja ya kuongeza uelewa wanawake juu ya dawa zilizokuwa chini ya kiwango na feki.

Picha na Makame Mshenga

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.