Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akutana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.

                                                                        PICHA NA IKULU.                                                    
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.