Habari za Punde

Uzinduzi wa Kamati ya Uhamasishaji ya Wanawake.

KATIBU Tawala Wilaya ya Chake Chake Ndg.Omar Juma Ali, akizindua kamati ya uhamasiahaji wa wanawake kuweza kudai haki zao za uongozi, mkutano ulioandaliwa na Jumuiya ya PEGAO kupitia mradi wa ushamasishaji wanawake kudai haki zao za uongozi na Demokrasia, chini ya ufadhili wa Ubalozi wa Norway Tanzania.

VIJANA kutoka Uwandani Wilaya ya Chake Chake, wakionyesha mchezo wa ngonjera unaohamasiha wanawake kugombania nafasi mbali mbali za uongozi, igizo hilo walilitoa wakati wa uzinduzi wa kamati ya Wilaya ya Chake Chake ya   ya uhamasiahaji wa wanawake kuweza kudai haki zao za uongozi, mkutano ulioandaliwa na Jumuiya ya PEGAO kupitia mradi wa ushamasishaji wanawake kudai haki zao za uongozi na Demokrasia, chini ya ufadhili wa Ubalozi wa Norway Tanzania.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.