Habari za Punde

Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi Wanawake Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Usuluhishi wa Migogoro.

Msaidi wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Ofisi ya Pemba.Sheikh Said Ahmed akizungumza na kutowa Mada juu Sifa za msuluhishi mzuri wa migogoro kwa wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya Wanawake Pemba, mafunzo hayo yameandaliwa na Jumuiya ya PECEO chini ya ufadhili wa Trhe Foundation for Civil Society.  
BAADHI ya wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya Wanawake Pemba, wakiwa katika mafunzo maalumu juu ya sifa za msuluhishi mzuri wa migogoro, yaliyotolewa na Jumuiya ya PECEO Pemba kupitia mradi wa Uhamasishaji wa upatikanaji wa haki za umiliki wa Ardhi kwa Wanawake, chini ya ufadhili wa The Foundation for civil society.

MRATIB wa Mradi wa Uhamasishaji wa upatikanaji wa haki za umiliki wa Ardhi kwa Wanawake Pemba, kutoka Jumuiya ya PECEP Juma Said, akizungumza na wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya Wanawake Pemba, ambo watasaidia wananchi katika kutatua migogoro ya ardhi kwa wanawake.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.