Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Waunini wa Kiislam Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Masjid Ibadhi Mkanjuni Chakechake Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati akiwasili katika viwanja vya Masjid Ibadhi Mkanjuni Chakechake Pemba kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo 3-9-2021.
Khatibu Sheikh Theneyan Suleiman Said akitowa hutba ya Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Masjid Ibadhi Mkanjuni Chakechake Pemba, kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika msikiti huo wa Masjid Ibadhi Mkanjuni Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.