Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahudhuruia Misa na Ibada maalum kuwaombea viongozi wa Kitaifa Chato

MJANE wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Mama Maria Nyerere akishiriki katika Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi wa Kitaifa iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kikiristo Mkoani Geita wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza  baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada maalum ya kuwaombea Viongozi iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakifuatilia Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi wa Kitaifa iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato, iliongozwa na Baba Askofu Mhashamu Seveline Niwemgizi.(Picha na Ikulu)
BABA Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki la Ngara Askofu Seveline Niwemgizi akiongoza Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi iliofanyika katika Kanisi la Mtakatifu Bikira Maria Chato.(Picha na Ikulu)
BABA Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki Ngara Seveline Niwemgizi (katikati) akiwa na baadhi ya Maaskofu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiikristo Geita baada ya kumalizika kwa Ibada na Misa Maalum ya kuwaombea Viongozi iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita leo 14-10-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiikristo Chato na Viongozi mbalimbali wa Serikali baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi mbalimbali , iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita, iliongozwa na Baba Askofu Muhashamu Seveline Niwemgizi.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.