RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe Hamisu Umar Takamawa, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Hamisu Umar Takamawa, alipofi Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi
akimsikiliza Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Hamisu Umar Takamawa,
alipofi Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongazana na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania
Mhe. Hamisu Umar Takamawa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake
Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe.Hamisu Umar Takamawa, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.5-10-2021
No comments:
Post a Comment