Habari za Punde

Ufunguzi wa Tamasha la Vyakula Vya Baharini Ufukwe wa Kendwa (Zanzibar Sea Food Festival ) Mkoa Kaskazini Unguja.

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara NMB Bank Ndg.Filbert Mpomzi akizungumza na kutowa Salamu za Wadhamini na Washiriki wa  Tamasha la Vyakula vya Baharini (Sea Food Festival ) lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya Kendwa Nungwe Mkoa wa Kaskazini Unguja. Benki ya NMB ni wadhamini wakuu wa Tamasha hilo lililozinduliwa jana usiku 8/10/2021. na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kutowa maelezi ya lengo la Tamasha hilo la Vyakula vya Baharini (Sea Food Festival) kusaidia Jamii katika shughuli za maendeleo katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. Tamasha hilo linalofanyika kwa Siku mbili kuazia tarehe 8 hadi 9 katika ufukwe wa Bahari ya Kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Siku mbili la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Sea Food Festival) lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya kendwa Nungwi Mkoa wa Kuskazini Unguja. kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Washiriki wa Tamasha hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kulifungua Tamasha la siku mbili la Vyakula vya Baharini Zanzibar (Zanzibar Sea Food Festival ) kuazia tarehe 8 hadi 9, linalofanyika katika ufukwe wa Bahari ya Kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, uzinduzi huo umefanyika jana usiku 8/10/2021.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia) Waziri wa Ardhi na Maendelo ya Makaazi Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, wakipga makofi baada ya kufunguliwa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Sea Food Festival) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) linalofanyika katika ufukwe wa Bahari ya Kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Maofisa wa Benki ya NMB wakifuatilia ufunguzi wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Sea Food Festival) wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika ufukwe wa bahari ya Kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.


Muwekezajiu wa Hoteli ya Gold akizungumza na kutowa neno la shukrani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Vyakula vya Baharini linalofanyika katika ufikwe wa bahari ya Kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa jana usiku. 
Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Kendwa Nungwi wakitayarisha Vyakula vya Baharini wakati wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Sea Food Festival) linalofanyika katika ufukwe wa bahari ya kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Kendwa Nungwi wakitayarisha Vyakula vya Baharini wakati wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Sea Food Festival) linalofanyika katika ufukwe wa bahari ya kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Kendwa Nungwi wakitayarisha Vyakula vya Baharini wakati wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Sea Food Festival) linalofanyika katika ufukwe wa bahari ya kendwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.