Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Kampeni ya Benki ya Exim ya Ugawaji wa Madawati 1000

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya ugawaji wa madawati 1,000 kwa ajili ya shule za msingi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Lindi, Dodoma, Mtwara, Mbeya, Tanga na Mwanza, Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu Huria mkoa wa Lindi pamoja na kampeni ya ugawaji wa madawati 1,000 kwa ajili ya shule za msingi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Lindi, Dodoma, Mtwara, Mbeya, Tanga na Mwanza, Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. katikati ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Jaffar Matundu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameketi kwenye dawati baada ya kuzindua kampeni ya ugawaji wa madawati 1,000 kwa ajili ya shule za msingi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Lindi, Dodoma, Mtwara, Mbeya, Tanga na Mwanza, Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Jaffar Matundu.
Sehemu ya madawati yaliyotolewa na Benki ya Exim wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  alipozindua kampeni ya ugawaji wa madawati 1,000 kwa ajili ya shule za msingi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Lindi, Dodoma, Mtwara, Mbeya, Tanga na Mwanza, Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.