Habari za Punde

ZAFELA yaadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani

Baadhi ya Washiriki waliyohudhuria katika Maadhimisho  ya Siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa na  Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jangombe  Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee,  Jinsia na Watoto.Abeda Rashid Abdalla,  akisema Watoto wa kike wasizalilishe pahala popote, katika hafla ya kuazimisha siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa  na  Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jang'ombe  Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”

Baadhi ya Washiriki waliyohudhuria katika Maadhimisho  ya Siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa na  Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jangombe  Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”.

Mjumbe wa Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) Amina Talib Ali, akimkabidhi zawadi Mwanafunzi kutoka Skuli ya Kisiwandui Hapsa Khamiss Amour, kua mshindi wa kwanza wa Mashindano ya Maswali na Majibu, katika Maadhimisho  ya Siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa  na  ZAFELA hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jangombe  Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”.

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.