Habari za Punde

Ziara ya Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoani Tanga.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Adam Malima akizungumza katika hafla ya ziara ya Kikazi kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo,akizungumza na kamati hiyo katika kijiji cha Jasini.
Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mkinga mkoani Tanga imefanya ziara ya kikazi kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo ambapo Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa wa Tanga ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Adamu Malima aliongoza msafara huo.
Mkuu wa Mkoa akiteta jambo na Kamishna wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala katikati pamoja na mkuu wa Wilaya ya Mkinga Luteni Maulid Surumbu.
 Mkuu wa Mkoa w Tanga Adamu Malima kushoto akiteta jambo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Suleiman Mzee katikati pamoja na Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala kulia.

Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mkinga mkoani Tanga imefanya ziara ya kikazi kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo ambapo Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa wa Tanga ambaye ni mkuu wa Mkoa huo Adamu Malima aliongoza msafara huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.