Habari za Punde

Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Dar es salaam Akitokea Nchini Misri.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 12 Novemba 2021 akitokea nchini Misri baada ya kukamilisha ziara yake ya Kosertikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 12 Novemba 2021 akitokea nchini Misri baada ya kukamilisha ziara yake ya Kosertikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.
PICHA NA IKULU.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.