Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Uongozi wa Amref Felth Africa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea cheti maalum cha pongezi kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake kutoka kwa Mkurugenzi  Mtendaji wa  Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu wakati Uongozi wa Shirika hilo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania "wakati Ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja  wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi  Mtendaji wa  Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu (katikati) na   Mkuu wa Miradi wa Dr.Aisa Muya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika  Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.