Habari za Punde

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAZOEZI YA TAIFA STARS

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwasili katika Uwanja wa Mpira wa Benjamin Mkapa kuangalia mazoezi ya wachezaji wa Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakati alipotembelea kuangalia mazoezi na kuwahamasisha kufanya vizuri kuelekea mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu ya DR Congo, katika uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa, Novemba Jijini Dar es Salaam

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Kim Paulsen akitoa maelekezo kwa wachezaji wa Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika mazoezi ya time hiyo yanayofanyika katika uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam Novemba
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakati alipotembelea kuangalia mazoezi na kuwahamasisha kufanya vizuri kuelekea mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu ya DR Congo, katika uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa, Novemba Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Michezo wakati alipotembelea kuangalia mazoezi na kuwahamasisha kufanya vizuri kuelekea mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu ya DR Congo, katika uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa, Novemba Jijini Dar es Salaam
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.