Habari za Punde

Athari za mvua ya jana kuziba kwa mitaro

Wazir wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo bw Ali Khamis Juma, pamoja na Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji bwana Omar Ali Omar BHAI, wakitafakari na kuangalia barabara iliyopo karibu na Wizara hiyo  Mazizini Mjini Unguja, ambayo imejaa maji ya mvua iliyonyesha muda mchache yaliyotokana na kuziba kwa mitaro iliyopo pembezoni mwa barabara hiyo na kuleta usumbufu  kwa wanaoitumia barabara hiyo. Sehemu ya maji yaliyotuwama   katika barabara iliyopo karibu na Wizara hiyo  Mazizini Mjini Unguja, ambayo imejaa maji ya mvua iliyonyesha muda mchache yaliyotokana na kuziba kwa mitaro iliyopo pembezoni mwa barabara hiyo na kuleta usumbufu  kwa wanaoitumia barabara hiyo.


Picha zote na   Maulid Yussuf WEMA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.