WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Msingi Wanaume, wakiwa
wameshika moja ya mabango wakati wa maandamano ya wanafunzi hao, kabla ya
kuanza kwa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi,
lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
MWANASHERIA kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Siti Habib Mohamed, akimsikiliza mmoja ya wanafunzi wa skuli ya Madungu Msingi Salma Hassan Abeid, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Msingi Wilaya ya Chake Chake, wakiwa wamekunja ngumi mkononi kuashiria kupiga vita vitendo vyote vya udhalilishaji wanavyofanyiwa watoto, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
MWANASHERIA kutoka Kituo cha huduma za sheria
Zanzibar Tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed akimkabidhi vitabu na majarida mbali
mbali mwanafunzi Hamil Nassor Juma, baada ya kujibu masuali ipasavyo aliokuwa
akiulizwa, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa
kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
MWANASHERIA kutoka ZLSC Siti Habib Mohamed,
akimkabidhi baadhi ya vitabu, majarida mmoja ya wanafunzi wa skuli ya Madungu
Msingi, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa
kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
MWANASHERIA kutoka cha huduma za sheria Zanzibar
tawi la Pemba, Siti Habibu Mohamed, akizungumza na wanafunzi wa skuli ya
madungu Msingi, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga
ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi
la Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment