Habari za Punde

Uzinduzi wa barabara ya Kinduni- Kichugwani – Kitope

Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais , Sera , Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe, Dkt. Khalid Salum Mohamed , akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa barabara ya Kinduni- Kichugwani – Kitope, ( KM 4) Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja. , iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pi;li wa Rais , Sera , Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe, Dkt. Khalid Salum Mohamed watatu ( Kulia) akitembelea Barabara ya Kinduni- Kichugwani – Kitope, (KM 4) Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja. , baada ya Kuizinduwa , iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Baadhi ya Waliyohudhuria katika Uzinduzi wa barabara ya Kinduni- Kichugwani – Kitope,  (KM 4) Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja , iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pi;li wa Rais , Sera , Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe, Dkt. Khalid Salum Mohamed,akizungumza katika Uzinduzi wa barabara ya Kinduni- Kichugwani – Kitope, ( KM 4) Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja. , iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO/MAELEZO ZANZIBAR.  
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.