Habari za Punde

Uzinduzi wa mradi wa ufugaji majongoo Mto wa Pwani

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban Kavaa (Shati Jeupe) na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud , Wakiwa katika Boti kuelekea katika Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji  Majongoo,  hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Moja ya Jongoo la Pwani likiwa katika Kipimo cha uzito baada ya Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji  Majongoo, uliyozinduliwa na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban (hayupo pichani)  hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja,cccccca iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban (kavaa Miwani) akiwakabidhi Boya Wafugaji wa Majongoo ,kama ishara ya Uzinduzi wa  Mradi wa Ufugaji  Majongoo,  hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud, wakiachia Majongoo katika Maji kama ishara ya Uzinduzi wa  Mradi wa Ufugaji  Majongoo,  hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban,akizungumza katika Uzinduzi wa  Mradi wa Ufugaji  Majongoo,  hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO/ MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.