Habari za Punde

Mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria

AFISA Mdhamini Afisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Pemba Halima Khamis Ali, akizungumza na kuwakaribisha washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria, mafunzo hayo yametolewa na Idara wa katiba na Msaada wa kisheria Zanzibar kwa ufadhili wa Taasisi ya LSF.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MAAFISA Sheria kutoka Idara ya Katiba na Massada wa Kisheria Zanzibar, kulia ni Afisa Sheria Bakari Omar Ali, katikati ni Afisa Sheria Yussar Abdalla Said na Afisa Sheria Salma Suleiman Abdalla, wakifuatilia mafunzo ya kuwajengea Uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGENZI Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar Hanifa Ramadhan Said, akitoa maelezo juu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria, mafunzo hayo yametolewa na Idara wa katiba na Msaada wa kisheria zanzibar kwa ufadhili wa Taasisi ya LSF.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utamishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Seif Shaban Mwinyi, akifungua Mafunzo ya siku mbili juu ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria, mafunzo hayo yametolewa na Idara wa katiba na Msaada wa kisheria Zanzibar kwa ufadhili wa Taasisi ya LSF.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WASHIRIKI wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mafunzo hayo yaliotolewa na Idara wa katiba na Msaada wa kisheria zanzibar kwa ufadhili wa LSF.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

AFISA Sheria kutoka Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Pemba Bakar Omar Ali, akiwasilisha mada ifahamu sheria ya Msaada wa Kisheria namba 13/2018 na kanuni za msaada wa kisheria za Mwaka 2019, katika mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa wa Jeshi la Polisi na Maafisa Ustawi juu ya masuala ya Msaada wa Kisheria, wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo yaliotolewa na Idara wa katiba na Msaada wa kisheria zanzibar kwa ufadhili wa LSF.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.