Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni  katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni  katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa   katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022.
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga Saluti wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa   katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022.
Baadhi ya Mawakili wakiwa katika katika sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu] 07/02/2022.
Baadhi ya Majaji na Mawakili wa Serikali na Kujitegemea wakiwa katika katika sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu] 07/02/2022.
Wafanyakazi wa Mahkama na Mawakili wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022. 
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na waalikwa mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto)Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban,Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Jaji Mustapha Siyani (wa pili Kushoto) na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa .[Picha na Ikulu] 07/02/2022. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban (katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Jaji Mustapha Siyani(kushoto)mara baada ya kutoa  hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/02/2022. 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.