Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia katika kilele cha Maadhimisho siku ya Sheria nchini yaliyofanyika Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. George Simbachawene mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho hayo leo tarehe 02 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika kilele cha  Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali,  Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu mara  baada ya kuhutubia katika kilele cha  Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Februari, 2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.