Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris
nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron leo
tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron leo..
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa
Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo
tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika
mazungumzo baina ya pande mbili na Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron ambaye
aliongoza Ujumbe wa nchi hiyo katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo
tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuagana na mwenyeji wake
Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuagana na mwenyeji wake
Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuagana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment