Kaimu Meneja wa
Biashara Benki ya NMB Zanzibar Bi.Naima Said Shaame, akizungumza wakati akifungua mkutano wa Business Club kwa baadhi ya Wafanyabiashara Wateja wa Benki ya NMB Kisiwani Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Chakechake Pemba.
MENEJA Mwandamizi
kitengo cha Biashara NMB Christopher Mgani, akifungua mkutano wa
wafanyabaishara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake
Chake
MDAU wa NMB kutoka
Mahakama Luciano Nyange Makoi akitoa ushuhuda juu ya ujazaji wa fomu za mikopo
za NMB kwa wafanyabiashara pale wanapotaka kwenda kukopa, katika mkutano
uliofanyika mjini Chake Chake
Katibu wa klabu ya
wafanyabiashara wa NMB Pemba Rabia Omar Said, akizungumza katika mkunao wa
wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake
Chake.
MFANYABIASHARA kutoka
Wete Said Ali Mussa, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashara
wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
KAIMU Meneja wa
biashara za NMB Zanzibar Naima Said Shaame, akiangalia hati ya haki ya matumizi
ya ardhi wakati wa uwasilishaji wa mara juu ya ardhi, katika mkutano wa
wafanyabiashar uliofanyika mjini Chake Chake.
MFANYABIASHARA kutoka
Wesha Naima Mohamed, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashara
wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
AFISA Usajili Ardhi
Yussuf Hamad Kombo, akionesha kadi ambayo hupatiwa mwananchi baada ya eneo lake
la ardhi kusajiliwa serikalini, katika mkutano wa wafanyabiashara wanaotumia
huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.
MFANYABIASHARA kutoka
Wesha Naima Mohamed, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashara
wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.
No comments:
Post a Comment