Habari za Punde

DKT. Mwigulu Nchemba Azungumza na Vyombo vya Habari Kuhusiana na Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza na vyombo vya Habari kuhusu Mafanikio ya Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba (Kushoto) akizungumza wakati wa mkutano wa waziri na vyombo vya Habari kuhusu Mafanikio ya Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, jijini Arusha. Katikati Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), kulia ni Bw. Ben Mwang’onda Mwenyekiti wa wahariri wanaoripoti habari za fedha.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakati akiwasili kwa ajili ya Kuzungumza na vyombo vya Habari kuhusu Mafanikio ya Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.