Habari za Punde

Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yatoa Mafunzo Kuhusu Elimu ya Maadili Kwa Wananchi.

Afisa kutoka Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Habib said Mohammed akiwasilisha mada ya umuhimu wa maadili katika Jamii Kwa wananchi wa Shehia ya kinuni wakati wa  Utoaji wa elimu ya maadili  pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi hao dhidi ya  viongozi, hafla iliyofanyika  kinuni Wilaya ya Magharibi "B", elimu  ya maadili imetolewa Kwa wananchi wa Shehia mbalimbali katika  wilaya zote za Zanzibar chini ya Tume ya maadili ya viongozi wa Umma
Wananchi wa Shehia ya Kinuni wakifuatilia mafunzo kuhusu elimu ya maadili yaliyotolewa na  maafisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma huko Kinuni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
Mwananchi  wa Shehia ya Kinuni Fatma mohd akipeleka malalamiko yake Kwa Afisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Habib Said Mohammed wakati wa Utoaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko Kinuni Wilaya ya Maghribi “B”Unguja.
Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni Ali Juma chogeza akipeleka malalamiko yake Kwa Afisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Habib Said Mohammed wakati wa Utoaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko Kinuni Wilaya ya Maghribi “B”Unguja.
Afisa Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni khams Kassim haji akipeleka malalamiko yake Kwa Afisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma  sheha Juma Kheir  wakati wa Utoaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko Kinuni Wilaya ya Maghribi “B” Unguja.
Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni Abdulrahman Ali said akichangia mada mada ya maadili kwa jamii wakati wa  utowaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko kinuni Wilaya ya Maghribi "B"Unguja.
Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni Rashid Haji Ali akichangia mada ya maadili kwa jamii wakati wa  utowaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko kinuni Wilaya ya Maghribi "B"Unguja.
Mwananchi wa Kinuni Faraji Hassan Hussein akichangia mada mada ya maadili kwa jamii wakati wa  utowaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko kinuni Wilaya ya Maghribi "B"Unguja.
                               
PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.