Habari za Punde

Kamati ya Kudhibiti UVIKO-19 Yakutana Jijini Dodoma.

Na Mwandishi Wetu- Dodoma       

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Kaspar Mmuya ameongoza Kikao cha Kamati ya Makatibu Wakuu ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19.

Kikao hicho kilifanyika Aprili 25, 2022 Dodoma ambapo Makatibu Wakuu na Wawakilishi kutoka Wizara mbalimbali walishiriki kikao hicho zikiwemo Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Wizara ya Kilimo, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na nyinginezo.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bwa. Kaspar Mmuya (katikati) akiongoza Kikao cha Kamati ya Makatibu Wakuu ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19 (mwisho) Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maada Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Michael Mumanga na (wa kwanza kulia) Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Elias kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi hiyo
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akieleza jambo wakati wa  kikao cha Kamati ya Mkatibu Wakuu ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19 kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo akichangia hoja kikao cha Kamati ya Makatibu Wakuu ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19 kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya washiriki kutoka Wizara mbalimbali wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bwa. Kaspar Mmuya (katikati) akiongoza Kikao cha Kamati ya Makatibu Wakuu ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19 (mwisho) Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maada Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Michael Mumanga na (wa kwanza kulia) Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Elias kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.