Habari za Punde

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana  na Mbunge wa Bunda, Boniphace  Getere, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Boniphace  Getere, bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma Aprili 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana  na Mbunge wa Bunda, Boniphace  Getere, bungeni jijini Dodoma
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.