Habari za Punde

Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama Jumuiya ya Afrika Mashariki Sekta ya Mazingira.

Mawaziri, Makatibu wakuu na viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa M Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja akitoa neno wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha.
 Waziri wa Mazingira na Maliasili wa Kenya Mhe. Keriako Tobiko akiongoza Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha.
Ujumbe kutoka Tanzania wakishiriki Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. 

Mawaziri, Makatibu wakuu na viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Mei 20, 2022.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.