RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Magoa
Zanzibar Bi.Amanda Maria Demello akisoma salamu za jumuiya yao wakati wa
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
21-5-2022
Kiongozi wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar
Bw.Wolfango Martins akizungumza na kutowa historia ya Magoa Zanzibar wakati wa
mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Magoa
Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2022, kwa mazungumzo na
kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

UJUMBE wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya postcard iliyochorwa na
Bw.Babtist De Silva, kutoka kwa Bw.Wolfango Martins (kushoto kwa Rais) na
(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar Bi.Amanda Maria
Demello, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Picha ikionesha mandhari ya
ufukwe wa pwani ya Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Unguja (St.Joseph School)
akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar Bi.Amanda Maria Demello
na (kushoto kwa Rais) Bw.Wolfango Martins, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Jumuiya ya
Magoa Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment