Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Mstaafu Hamisa Hamisi Kalombola, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Khadija Ali Mohamed Mbarak kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Susan Paul Mlawi kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Adadi Mohamed Rajabu kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Nassor Nassa Mnambila kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.
Viongozi mbalimbali walioapishwa Wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya tukio la Uapisho lililofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei, 2022.
No comments:
Post a Comment