Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mpango Akiwasalimia Wananchi Kwenye Ngede leo Juni 16,2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwasalimu abiria mbalimbali waliosafiri na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati akiwa safarini kutokea Dodoma kuelekea Dar es salaam leo Tarehe 16 Juni 2022.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.